Pages

Tuesday, October 2, 2012

Rufaa ya Lema yahairishwa tena.

RUFAA ya kupinga kuvuliwa ubunge wa aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (CHADEMA), imesikilizwa leo na jopo la majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa, wakiongozwa na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande, na kisha kuahirishwa hadi siku ambayo itatangazwa baadae



                                            Wanachama wa CHADEMA


                                               wanachama wa CHADEMA


                                         Mh Lema akizungumza kuagana na wananchi waliokuwa
                                         nae mahakamani mda mfupi uliopita.


                                               Baadhi ya wananchi waliokusanyika nje ya ofisi za Chadema Mkoa wa Arusha, eneo la Ngarenaro wakimsikiliza Mh Godbless Lema haonekeni pichani mara baada ya kutoka Mahakamani kusikiliza shauri lake kupinga kuvuliwa ubunge. Picha hii ni taswira nusu ya kwanza ya watu


 
                                          Shamrashamra barabarani wakitoka Mahakamani hii leo

0 comments:

Post a Comment