Hivi ni baadhi ya vituko na matukio mbalimbali ambayo nimebahatika kukutana nayo leo hapa jijini Dar es salaam...baadhi yanafurahisha na mengine yanashangaza kama si kuhudhunisha.
nilikutana na gari hii maeneo ya kijito nyama leo
hawa ni wa2 wa daladala wakigombana
...ugomvi unaendelea
wakafatana mpaka mlangoni
hili nmelikuta buguruni chama
nmependa spelling katika tangazo hili
tangazo la ajira nkaona siyo vibaya kuli-
weka ili wadau wapate ajira.
huyu jamaa ni shabiki wa Simba nmeku-
tana naye buguruni.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment