Pages

Friday, October 5, 2012

NEWE: KIPAJI KIPYA CHA BONGO FLEVA KUTOKA SHINYANGA.

Jina lake rasmi ni Newe Mpemba lakini anatumia jina la NEWE kwenye harakati zake za kimuziki, ni kipaji kutoka shinyanga ambacho kinafanya muziki aina ya hiphop (commercial)..."
"Nilipenda mziki toka nilipojua kusikia lakin rasmi nimeingia katika Game July 07 2012 na kazi yangu ya kwanza ikatoka August 08 2012.
Nimefanya na Producer Amba wa Amba'z Rec. pia Featuring akasimama Mtu Mzima Soprano katika Kiitikio.
Nyimbo Inaitwa "Nyota ya Moyo"
Ni track kali mahadhi ya Commercial. Na video yake itakuwa tayari Mwishoni mwa Mwaka Huu!!
Mashabiki nawaomba wakae tayari kwani wamepata Bahati na Neema ya kutochosha Masikio yao kila Mziki wangu , Utakapo sikika"...hayo ni maneno ya msanii newe alipozungumza na blog hii....msapoti kijana wetu kwa kudownload wimbo wake hapa bonyeza hapa kudownload wimbo wa nyota by NEWE 



                                                                   NEWE katika pozi



                                                                        NEWE

0 comments:

Post a Comment