Raydream ni kipaji kutoka kaskazini (Arusha) kinachofanya muziki aina ya bongofleva/ R n' B, ni msanii mwenye mustakabali mzuri...ebu chukua time yako kumsikiliza na ukiweza kupakua wimbo wake uitwao NENDA.
gonga hapa kupakua na kusikiliza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment